Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,404
Kwa hiyo unatufanyia makusudi wengine ili tusichangieee!!!!
Kwa hiyo unatufanyia makusudi wengine ili tusichangieee!!!!
nw chemistry z gone wory nt my kaka u just WAIT FOR GEOGRAPHY to come n show u where ur position is.
wait ma dia!!!!!
very soon u wl knw yr longitude n latitude !!!!!!!!!!
pole mwaya!!
huyu jamaa sjui alijifunzia kingereza kwenye kamusi au ni kutafuta 'attention' za Jf! dah tabia za wabongo hatai hatai, kwani ukiandika cha kawaida si sawa tu? unaboa mkubwa aagh ka hutaki tuchangie simulia wazungu wenzako
cc: lusungo
Asipoandika hizo archaic words mtamuonaje kama mjuaji?
Maisha yamemkaanga hana mbele wala nyuma anachojivunia ni kusoma na kukariri hiyo misamiati chakavu na kuwaandikia humu...
Dawa yake ni kumpuuza tu wabeba box wengi hupenda kujifanya wajuaji...
mi sjui kizungu ila nawe Nyani punguza sifa, hivi unajuaga misamiati tu ya kizungu? mbona forum za majuu wanaandika kizungu kirahisi hata sisi f4 tunaelewa?
we ulisomea sayari ya Mars? mi sjaelewa, kha nde mgaya sida
Toa hoja sio kuongea kwa jaziba yeye kuandika kwa kiingereza tatizo wapi kwani college wee ulisoma kwa lugha gani? Na mitihani uliandika kwa lugha gani? Iwapo hukwenda college walionda college Tanzania walisoma kwa Kiswahili? Sio lazima wajua kiingereza ni walio nje mie nimesoma Tanzania hapa hapa sioni tatizo kwa yeye mbeba box kuandika kwa kimombo na si kweli wote ni wajivuni hiyo ni stereotyping, generalization na stigmatization kwa wasomi hawana haya ya kuona mtu mmoja unajumlisha wote maana kila kesi iko tofauti na nyingine huwezi kujumlishakwa wote basi utakuwa na lako jambo dhidi ya walio nje ya nchi
Ndio uandishi wetu waafrika ulishasoma vitavu vya Chinua Achebe anatumia misamiati migumu tupu nafikiri ni utamaduni wetu tunaojifunza kuongea lugha ya pili kutumia misamiati migumu ni sawa na kujifunza lugha ya kabila jingine utajua matusi kwanza kabla ya mengine
Sijawajumuisha wote ndo mana nikasema wengi na si wote...
Sijamjibu mtoa kiingereza nimemjibu aliyemjibu mwandika kiingereza...
Sijaona point yoyote hapo zaidi ya multiple id
Hivi kigumu hapo ni nini lakini?
Kwa hiyo unatufanyia makusudi wengine ili tusichangieee!!!!
how 'boutclear blue sky
Sio kila hoja lazima uchangie inategemea na thread iwapo inakuvutia, unachakusema, unachakuchangia, lugha iliyotumika unaiweza kujibishana nao mathalani ni thread ya matusi nawe ni swala tano au umeokoka, thread imetumia lugha uliyoconfortable kuchangia. Kwahiyo sio kila thread lazima uchangie zingine unapita na kusoma wengine wameandika nini lasivyo utaonekana kasuku unayependa kujisikiliza hoja zako kwa kuchangia kila kitu
You are really drawn to a person. You begin to date and the chemistry grows stronger and stronger. You take things to the next level and it becomes exclusive and everything is hunky dory, kosher, and fine and dandy.
Then one day out of a clear blue sky you don't feel the same attraction any longer. It's gone. It's kaput!
What happened? Is it because the mystery is gone and you know too much about the person too soon?
Or is it because you created some fantasy chemistry that doesn't even exist in the real world?
Why would a person lose attraction to their partner like that? What is the cause for the emotional connection breakdown?
You are all welcome to chime in.....
mi sjui kizungu ila nawe Nyani punguza sifa, hivi unajuaga misamiati tu ya kizungu? mbona forum za majuu wanaandika kizungu kirahisi hata sisi f4 tunaelewa?
we ulisomea sayari ya Mars? mi sjaelewa, kha nde mgaya sida
Nilikua namuambia Nyani we mi sijakusemeshaa au we ndio nyanii huwez kunipangia pa kuchangiaa
We Dina mimi siyo huyo jamaa bana....ntakuchapa.
UngePM iwapo ni personal akina Msingwa na Lusungo mbona wamedakia hujawaambia kuwa wakuache ujibishane na Nyani? Wee ndo usimpangie Nyani cha kuandika na lugha ipi ajibu, sio kila hoja lazima uandike umezidi kiherehere wee nani? Huna kazi kila thread upo huoni hata haya? Almost kila thread lazima uchangie huwezi soma zingine ukaacha au unatafuta kuwa popular jamii?