unasoma vizur xana tena kipind hiki nchi inapitia mabadiliko makubwa ya sekta ya viwanda na ges fulsa ni nyingi ilimradi tu uwe na ufaulu mzur mwisho wa digree yako.
Ukifanya vizuri unaweza fanya kaz makampun ambayo ni mult international pia unaweza kujia ajiri mwenyewe ukiwa na uelewa wa mabo uliyo yasomea darasani