Chemical processing and engineering

Chemical processing and engineering

Boiker

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
349
Reaction score
466
Habari wadau naomba kufahamishwa kama unaweza kusoma hyo degree ukiwa na diploma ya biotechnology...
 
unasoma vizur xana tena kipind hiki nchi inapitia mabadiliko makubwa ya sekta ya viwanda na ges fulsa ni nyingi ilimradi tu uwe na ufaulu mzur mwisho wa digree yako.

Ukifanya vizuri unaweza fanya kaz makampun ambayo ni mult international pia unaweza kujia ajiri mwenyewe ukiwa na uelewa wa mabo uliyo yasomea darasani
 
Back
Top Bottom