Abdalla Mohd Ali
Member
- Jul 8, 2022
- 21
- 7
Habar za muda wakuu
Samahanini sana wanajamvi
Selection za vyuo zmetoka
Kama kunamtu kapata Acturial science (IFM) Na Kapata Chemical Engeneer (UDSM) kozi zote anazipenda
Vp hapa kijana huyu aende wap kwa kuzingatia soko la ajira kwasasa
Naomben msaada wenu
Ahsanteni ...

,