CHEMBE DISTRICT COUNCIL

rutabazi

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
493
288
wadau habr za muda hu,
walimu wa ajira mpya wanapata tabu sanaaa katika halmshaur tajwa haijawahi tokea,2018
kama wahusika mpo humu angalini namna yakufanya walimu hawan cha kuiba,mazingira mnayajua, majibu yenu hayana mashiko kbs,
mwalim pesa ya kujikim miola _hamna mhashara pia hmn hamashaur zingine tayr hata kujitafakari pia hakuna ...
maagizo ya rais na tamisemi walimu wa ajira wapewe stahiki zao pia hilo haliwezekani
chemba -dodoma wahusika msisubir msikie mwalimu kafariki ndo mchangishana lambilambi huruma kwa hawa walimu jamani njaaa.
mkurugezi hali ni mbaya kwa watumishi wako'walimu
 
Rutabazi nchi mzima walimu wanalia utafikiri wapo utumwani,nchi ni yetu wote, zamani nilijua nchi ya Somalia ni wajinga kupigana kumbe wapo sahihi we need war
 
wadau habr za muda hu,
walimu wa ajira mpya wanapata tabu sanaaa katika halmshaur tajwa haijawahi tokea,2018
kama wahusika mpo humu angalini namna yakufanya walimu hawan cha kuiba,mazingira mnayajua, majibu yenu hayana mashiko kbs,
mwalim pesa ya kujikim miola _hamna mhashara pia hmn hamashaur zingine tayr hata kujitafakari pia hakuna ...
maagizo ya rais na tamisemi walimu wa ajira wapewe stahiki zao pia hilo haliwezekani
chemba -dodoma wahusika msisubir msikie mwalimu kafariki ndo mchangishana lambilambi huruma kwa hawa walimu jamani njaaa.
mkurugezi hali ni mbaya kwa watumishi wako'walimu
Sio huko tu hizi ajira mpya zimekuwa mateso jaman mtu miezi miwili no mshahara jaman yaan dhambi acheni tu walimu wanapata stress hamna wakuwasaidia waliowakuta kazin nao hali zao tete hata kusaidia mwenzao ngumu.
 
Back
Top Bottom