Chelsea v Manchester United

Chelsea v Manchester United

When you appoint a mid table coach simply you will get a mid table team as well....Poleni Man U.

tumesha poa,yaani hata maji hayapiti kooni,wasifunga leo ndio wanapata nafasi ya kubeba mpira?
 
Mtabaki kuwa mabingwa wa Airte..Anayesafiri anakaa stand tayari kwa safari
 
Man U hata kipa hamna. Kipa gani mrefu halafu anafungwa magoli ya huko huko juu? Welbeck naye ni mzigo tu na bado kocha hamuoni kama ni mzigo. Kwa mechi ya leo wala simlaumu Moyes.

Tiba
 
Man U hata kipa hamna. Kipa gani mrefu halafu anafungwa magoli ya huko huko juu? Welbeck naye ni mzigo tu na bado kocha hamuoni kama ni mzigo. Kwa mechi ya leo wala simlaumu Moyes.

Tiba

Welbeck sio mzigo,ni mchezaji mzuri sana sema tu mechi leo ni ngumu kwetu
 
msikate tamaa man u tutawazawadia gori moja tu
 
Man u wapo vzr wanaweza kurudisha yote na kushinda
Mpira bado
 
Back
Top Bottom