Mashabiki wa Arsenal hawana kabisa tofauti na wale raia walio amua kubakia Afghanstan chini ya utawala wa Wataliban, kwa mara nyingine tena.[emoji1320][emoji1320][emoji1320] [emoji471] Arsenal.vipo wapo kwenye mbio za ubigwa nao.au ..?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wahamie psg wajifiche kwenye kivuli cha messi waiche EPL.kidogoMashabiki wa Arsenal hawana kabisa tofauti na wale raia walio amua kubakia Afghanstan chini ya utawala wa Wataliban, kwa mara nyingine tena.
Ubingwa upo Kati ya Chelsea ,Liverpool na Man City .Thomas Tuchel’s Chelsea in the 2021/22 Premier League season:
9 games
7 wins
1 draw
1 defeat
23 goals scored
3 goals conceded
22 points
On top of the table
Muanzisha uzi utabiri wako unaendelea vyema bado game 10 tumalize nusu msimu hadi robo msimu maendeleo ni mazuri
Hao wa chini una maana hata game ya leo unahisi liver Anapunguza gap la point kurudi ile ile moja?Ubingwa upo Kati ya Chelsea ,Liverpool na Man City .
Kati ya hao watatu atakawapiga wakubwa wenzake kama liver,Chelsea ,man City , nje ndani anaweza kuwa bingwa ,Ila sitegemei hizo timu 3 kupoteza mechi kwa hawa wa chini
Ubingwa upo Kati ya Chelsea ,Liverpool na Man City .