reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
Luiz yupi huyo? Au David Luiz kama ni DLuiz sahau kuuzwa kwake
Wazee wakununua makombe mpooo!
Hivi Mata amemkosea nini huyu mzee? Yaani Mou simuelewi kabisa.
Morinyo nae ha mnazo! Alituzuilia nn sasa kutupa Ba kumbe hamuhitaji??
Taratibu tu Utamuelewa, muulze casillas
Usimtetee bana, jamaa anatuzingua sana mashabiki wa Chelsea na first eleven yake isiyoeleweka.
Mimi ananikera kweli,cjui kwanini anamuweka mata benchi?cpendi philosophy yake ya mpira,timu haiko free kabsa,unakuta mchezaji anacheza kama jose anavyotaka
Utampaje adui rungu wewe,McPende vya bei chee nyie
Wenger anakuja na offer January kwa Ba na Mata, Kwasababu mmewaweka Sokoni nitashangaa mkigoma kutuuzia!
utampaje silaha adui kirahisi hivyo......BA pale arsenal si hatari sana kwa wapinzaniMorinyo nae ha mnazo! Alituzuilia nn sasa kutupa Ba kumbe hamuhitaji??