D daxy Jr Member Joined Apr 15, 2020 Posts 88 Reaction score 307 Sep 9, 2022 #1 Binafsi ni shabiki wa Arsenal, Ila kitendo cha Chelsea kumfukuza Tuchel baada ya kufungwa na Leeds naona Chelsea wamekurupuka na itawacost
Binafsi ni shabiki wa Arsenal, Ila kitendo cha Chelsea kumfukuza Tuchel baada ya kufungwa na Leeds naona Chelsea wamekurupuka na itawacost
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,288 Sep 9, 2022 #2 Chelsea sio timu ya majaribio!!!Ni timu ya vikombe Kwa hiyo ukiwa kocha wa Chelsea ujiandae Kwa ushindani !!!Lakini pia timu za majaribio ni asernal, Tottenham,Leeds,westham.
Chelsea sio timu ya majaribio!!!Ni timu ya vikombe Kwa hiyo ukiwa kocha wa Chelsea ujiandae Kwa ushindani !!!Lakini pia timu za majaribio ni asernal, Tottenham,Leeds,westham.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,570 Reaction score 135,501 Sep 9, 2022 #3 Kwani huyo Thomas Tuchel ndiyo kocha pekee kuwahi kupita pale Chelsea?