VJ10 New Member Joined Feb 24, 2013 Posts 4 Reaction score 0 May 2, 2013 #1 CHELSEA leo usiku inaenda chukua tiketi yake rasmi ya kwenda kucheza final ya EUROPA LEAGUE jaman plz dont mic to watch.... chama kubwa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
CHELSEA leo usiku inaenda chukua tiketi yake rasmi ya kwenda kucheza final ya EUROPA LEAGUE jaman plz dont mic to watch.... chama kubwa
C capo JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 232 Reaction score 47 May 2, 2013 #2 Akichukua hilo kombe atakuwa sawa na kina Barca,ajax,bayern na juventus,ambao wamewahi kuchukua European cup,cup winners cup na Uefa cup.Pride of london.
Akichukua hilo kombe atakuwa sawa na kina Barca,ajax,bayern na juventus,ambao wamewahi kuchukua European cup,cup winners cup na Uefa cup.Pride of london.
Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,254 May 2, 2013 #3 Tukichukua hiyo tunaweza kutana na Bayern Munich kwa mara nyingine lakini safari hii itakuwa katika UEFA Super Cup!:mvutaji:
Tukichukua hiyo tunaweza kutana na Bayern Munich kwa mara nyingine lakini safari hii itakuwa katika UEFA Super Cup!:mvutaji:
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,017 Reaction score 51,155 May 2, 2013 #4 Blue is the color and football is the game...
O obwato JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 1,188 Reaction score 365 May 2, 2013 #5 Hii mechi Chelsea wanashinda hawa jamaa hawana plan B kama Barca vile.
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,306 Reaction score 38,511 May 2, 2013 #6 obwato said: Hii mechi Chelsea wanashinda hawa jamaa hawana plan B kama Barca vile. Click to expand... Umeona Chelsea lazima wapate goli hapa.
obwato said: Hii mechi Chelsea wanashinda hawa jamaa hawana plan B kama Barca vile. Click to expand... Umeona Chelsea lazima wapate goli hapa.