Yasin21
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 667
- 402
Huyo ndio wa kwanza kwa sasa tumsubir teves nae tuone.bahati zilizoje hizi.....dogo aende tu maana kwa sasa atakuwa wa pili duniani kulipwa pei ndefu
Huyo ndio wa kwanza kwa sasa tumsubir teves nae tuone.bahati zilizoje hizi.....dogo aende tu maana kwa sasa atakuwa wa pili duniani kulipwa pei ndefu
Ivi ana miaka ngap vilee.....Kuzaliwa na bahati tu..huyu huyu tu oscar mourinho aliwatema KDB na Mata Chelsea kumtengenezea mazingira mazuri..Na Dunga Kumtema Coutinho WC 2014..Dogo ana Kismati