reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
ni mtazamo wng wadau. kwa mwendo wa epl ninavyouona chelsea endapo itafanikiwa kumfunga sunderland cku ya jumamosi basi uwezekano utakuwa mkubwa sn kutwaa kombe. kuwafunga liver anfied c zani km itashindikana kwani beki ya liver inaruhusu goli nyingi sn pia SAS wamekuwa hawafurukuti sn katika big match. mechi ya sunderland itakuwa muhimu sn kwa chelsea kushinda iliweze kutwaa kombe. hyo mechi ya liver itakuwa km fainali
SAS hawafurukuti eee! watafunga mabeki cku hiyo hivi unajua matin sketo ana goli ngapi msimu huu?
Ngonja tumpige sunderland halafu liverpool iwe draw halafu tukutane nao tuwatandike tena,teh teh teh
Ingawa hiyo mechi ya Liverpool vs Chelsea najiuliza ni jinsi gani Sterling,Suarez na sturidge wafichwe bila kufanya madhara kwenye lango letu
watafichwa kama walivyofichwa:
ezequel lavezz na cavani wa PSG.
Duh aisee, ...nitaongea badae.
Hata mimi. Jamaa wanaiogopa Sunderland afu wanajitapa kuwafunga mabingwa wapya Anfield. Maajabu!
chelseas anachukua vikombe vyote epl na champions league ndio mtajua mourinho alivyo special
Hivo vichwa vitatu vya Liverpool kukaba wote pamoja ni kazi mno ila naimani tutashindawatafichwa kama walivyofichwa:
ezequel lavezz na cavani wa PSG.
Mpira game la kipekee sana Ahsanteni sana jana Sunderland. Morinho ni illusionist anachezea akili za wapinzani waulizeni city tulivyowapoteza Etihad
Eti beki ya liverpool inafungika atakae funga ni nani sasa?demba ba?hahahahah funny cheltic funs...
weeee! wewe ndo utakujaniambia jinsi chelsea alivyopewa chai, liverpool ushindi lazimautakuja kuniambia chelsea ikishinda mechi ya sunderland liver mtakuja kuniambia hyo mechi ya trh 27...