M makaburini Member Joined Dec 14, 2011 Posts 19 Reaction score 22 Jul 23, 2013 #1 umesoma tuhuma zako, imekuwaje mkuu wife kajua ID yako, soma uzi huu-"kama mbinguni wanaenda wenye ndoa basi sitaeda"hii ni nouma, umejiandaa kukabiliana na hilo au ndo unamwambia nyumba ndogo aanze kufungasha ajisogeze karibu ?
umesoma tuhuma zako, imekuwaje mkuu wife kajua ID yako, soma uzi huu-"kama mbinguni wanaenda wenye ndoa basi sitaeda"hii ni nouma, umejiandaa kukabiliana na hilo au ndo unamwambia nyumba ndogo aanze kufungasha ajisogeze karibu ?