Tatizo ni kuwa wengi wenu hili neno mnapenda kulitumia kama vulgar au slang pekee. Na mimi naamini hapo ulimpa maana iliyojikita katika mitazamo hiyo.
Lakini ukijaribu kuliweka kama figurative, halina shida yoyote. Na hata maandishi ya hiyo Tshirt yalilenga figurative.
Mfano, as a figurative, ass inamaanisha body. Je, kuna shida mtu akiva t-shirt imeandikwa kuwa; "My body is bigger than yours"?