nyinyi vijana mmejaaliwa kupita English medium mnaona rahisi tuu! kingereza kigumu jamani! hudhuria interview kwanza kungfuu nyingi! pili sentensi mbili the zipo kama kumi hivi! mtu akitoka hapo jasho linamtoka kama alikuwa kabeba lumbesa! acheni kabisa!
Tunamcheka shilole lakini kiukweli wabongo wengi tunaongea kingereza cha kuelewana wenyewe na tuna relax sana tukiwa wenyewe tabu aje mwenye lugha yake! jasho mtu anakunja uso mara anakuwa kwaya master.

eti mara anageuka kua kwaya master duhu nimecheka apa mpaka basi kama na muona vile apo mdomo na mikono vinakua pamoja kuongea tena uwapate wamesimama ahaa.