Mambo ya zima moto hayo. Hata viatu vya kukimbilia riadha ni tatizo. Magofu ya shule ya michezo pale karibu na uwanja wa taifa yanazidi kuota fungus. 95% ya habari za michezo ni mpira wa miguu. Umitashumta sijui umefikia wapi!. We are not serious. Sisi sio watu wa kuwa na uhaba wa professionals hata wa soka tu kwa miaka yote ambayo tunacheza huo mchezo. Anyway tuendelee na Fire-Fighting na kutarajia different results.