Cheki Kibaka wa Malawi

Cheki Kibaka wa Malawi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
11128756_547341538741332_7313360750761759979_n.jpg
Huyu ni kibaka na Hapo ni Lilongwe nchini malawi karibu na kituo kikuu cha polisi .
 
ni bora wamalawi hawachomi moto...........Bongo sio muda angeshavalishwa tairi za trekta
 
Hapo anashindwa kutoka??? !!! Hakuna kamba ya kuzuia miguu hqpoo!!
 
Baada ya kufungwa hivyo kifuatacho ni kumtosa mtoni au ziwani....
 
Back
Top Bottom