Cheki hii bili ya pombe

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,920
Cheki hii bili ya pombe
 

Attachments

  • scan0001.jpg
    126.9 KB · Views: 1,689
Bill ya kawaida kabisa hiyo kwa ss wanywaji
 
Wanywaji wengi wa Bongo wanapenda kudoea bia, huwezi kukaa sehemu ukanywa bia yako kwa utulivu bila kutokea watu wa kugongea, matokeo ndio bill kama hiyo.
 
Wakuu, nashukuru nimeacha huo utumwa, leo nimekunywa soda mpaka tumbo limeuma wakuu. Soda noma!!
 
Wanywaji wengi wa Bongo wanapenda kudoea bia, huwezi kukaa sehemu ukanywa bia yako kwa utulivu bila kutokea watu wa kugongea, matokeo ndio bill kama hiyo.

Mimi huwa nafanya kitu kimoja, kila anayetaka bia namuagizia kwa bili yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…