Cheka na Vituko vya Kisandu

Nashangaa familia ya huyu msela bado hawajampeleka anapostahili kua, hospitali ya vichaa inamuhusu.
Alafu hiyo font umeset kwenye simu yako hivi una matatizo ya macho?
 
Kumcheka mgonjwa wa akili sio sahihi

ila kuna kitu wagonjwa wengi wa akili wanakiweza kuliko watu timamu
kuwapata wanawake...
amezaa na wanawake sita?

Iyo research yako haina viability umeifanyia wapi,..watu wenye ugonjwa wa akili wanavutiaje wanawake mkuu,
 
Dah sasa umeniponda na umeniuliza tena maswali nikujibu

Wagonjwa wa akili wengi huwa na wanawake weengi sana
kwa wachache niliowahi kuwa observe.

Ndo nataka nijue umeifanyaj iyo research tujue uhalisia na sio judgement za kihisia,..correlation kati ya vichaa na kupendwa na wanawake ni IPI,..!?
 
Ndo nataka nijue umeifanyaj iyo research tujue uhalisia na sio judgement za kihisia,..correlation kati ya vichaa na kupendwa na wanawake ni IPI,..!?

Vichaa huwa na ujasiri wa ajabu
sababu ni vichaa..hawajistukii
hawafikiri mara mbili
wanaweza sema chochote kile
wanawake huwaona 'unique' na mysterious
kumbe sio timamu huja kugundua very late
 
....yaani hua nikisikia jina la Deogratius Kisandu lazima nicheke....huyu jamaa dishi limeanguka kabisa bora la Lissu limeyumba kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…