Mwaka huu ni kuimwaga ccm na pombe yake jalalani chatto...Hahaha mwaka huu maji mtayaita mma
October mtabaki km kuku aliyemwagiwa maji
Mwaka huu ni kuimwaga ccm na pombe yake jalalani chatto...
Kwa sasa bila kumsema mbowe lumumba bk7 mkono hauendi kinywaniWatu wameichoka chadema kwa ajili ya mbowe
Refa ni wananchi kwenye mechi ya uzinduzi ccm,nccr,tlp na cuf vs chadema na ACT Nani atafunga goliHahaha mwaka huu maji mtayaita mma
October mtabaki km kuku aliyemwagiwa maji
Tuwamwage tuwamwage mafisadi eee wameshindwa kutuongoza tuwamwage eee, Kila kukicha ni longo longo, mara mbowe mara chadema lkn wkt figisu kibao kwa wanaedai ni marehemu ..mna muogopa marehemu kvp kama c uenda wazimu???Ahah vijana wa Chadema mnafurahisha
Mtapenyea wapi Makundi yote mmeyaumiza labda mpate kura za TISS, wastaafu, viongozi wa dini,wakuu wa vyombo vya ulinzi plus msaada wa polisi dhidi ya nguvu ya umma.Hahaha mwaka huu maji mtayaita mma
October mtabaki km kuku aliyemwagiwa maji
Ewe mjivuniii, mpayapaya mkamata watoto wa kike!Hahaha mwaka huu maji mtayaita mma
October mtabaki km kuku aliyemwagiwa maji
Ewe mjivuniii, mpayapaya mkamata watoto wa kike!
Waiona hii chadema?
Chekacheka, kesho utaiona chadema iking'aa kama dhahabu iliyotoka kwenye tanuru
Mtapenyea wapi Makundi yote mmeyaumiza labda mpate kura za TISS, wastaafu, viongozi wa dini,wakuu wa vyombo vya ulinzi plus msaada wa polisi dhidi ya nguvu ya umma.
Mlimuibia Lowasa akakubali yaishe Safari hii kitaeleweka tu
Refa ni wananchi kwenye mechi ya uzinduzi ccm,nccr,tlp na cuf vs chadema na ACT Nani atafunga goli
Watu wameichoka chadema kwa ajili ya mbowe
5 yrs Hali halisiDuu huu mkwara unsogopesha kweli utafikiri upo sirias kumbe umeshiba umeamua kujifurahisha tu