Check wanandoa hawa

Wamepinda hadi uzeeni...!! ila ni mfano wa kuigwa
 
Best hapa kwa watu8 itakuwa ngumu kidogo maana bado sijafikia hiyo status ya "tugeza sinsi ...."

Kuna tshirts zizzou fashion ile ya kona barza aina mbalimbali. Wanakuandikia jina unalotaka na namba yoyote. Hebu mpeleke.memsahib ajisapraizi.
 
nimeipenda na mimi nakwenda kandaa yangu TOGETHER SINCE YESTERDAY
 
Mi wa mama ndio wangekuwa wamejaa barabarani, sasa sijui tutavaaje! Mwee aibu
 
Kama babu yangu na bibi yangu wazazi wa mama yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…