Wadau naomba msaada sim yangu inakata network na kurud na kila ikikata inaandika sim card registration failed then check info service sasa nashidwa kujua chanzo cha hili tatizo na kwanin hivi!¡ Nahitaj mawazo yenu plz

sio kwamba hio line umerenew? Manake line ambayo umerenew ndo ina request then ikifail inaandika sim card registration failed. Jaribu kwenda kwa customer care wa karibu na kwenu atakupa ushauri zaidi