Cheating is a choice

chiefkwanza

Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
26
Reaction score
24
Ku cheat ukiwa kwenye uhusiano ni uamuzi binafsi. Personality ya mtu ndo ina define how loyal atakua na sio circumstance ndan ya uhusiano wake. Kuna watu no matter ugumu wa uhusiano na misukosuko yote hawewezi ku cheat kwa mtu anayempenda, kuna wengine no matter how good uhusiano alionao, no matter apendwe vipi, apewe kipi, aridhishejwe bado akipata chance ya kucheat ata cheat tu. So kucheat au kuwa faithful ipo ndani ya mtu mwenyewe.

Hamna kucheat kwa bahat mbaya,hamna aliyecheat hakujua tangu mwanzo anachofanya si sahihi. So nini hasa maana ya kucheat?! Kucheat si mpaka ifikie the sexual act, tangu mwanzo unapo wasiliana na mtu asiye mpenzi wako kwa namna ambayo mpenzi wako pekee anastahili kuongea nawe unacheat.Unapompa mtu attention na kumjali kwa namna ambayo anastahili mpenzi wako unacheat.

Cheating Starts pale unaporuhusu ukaribu na mtu wa jinsia tofauti ambaye hupaswi kua close nae.Unajua Hupaswi kutoa namba, au kuomba mtu namba yet ukafanya. Hupaswi kupiga simu or kuchat nae yet umefanya, hupaswi kwenda kuonana nae yet umefanya. Steps zote hizo tayari ulisha cheat mpaka ikifika the sexual act mnakua tu mna seal that deal.

Kucheat ni uamuzi wa mtu.Si bahati mbaya, si kwa kutokujua.So Every action you take tambua unajua wapi unaelekea.Usikubali mtu akwambie hakuweza jizuia you can always make a choice.Always! Je which one are you?

#thaglov

#thaglyf
 
1st thing asubuhi yote hii???
 
Mwambien achague lugha moja tu atuandikie, andika kichAga
 
kwa wengine kucheat ni ugonjwa kiongozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…