Mheshimiwa unataka kuwa na hivi vifaa kwasababu ni bei rahisi, unahitaji ama unataka kuoshea mtaani? Hizi bei hazitoshi hata gharama ya packeging halafu zikiaribika unaanzaa kulalama WACHINA WACHINA. Hebu jaribu ku google hii kitu uone gharama yake😡uko wapi sasa?
mheshimiwa unataka kuwa na hivi vifaa kwasababu ni bei rahisi, unahitaji ama unataka kuoshea mtaani? Hizi bei hazitoshi hata gharama ya packeging halafu zikiaribika unaanzaa kulalama wachina wachina. Hebu jaribu ku google hii kitu uone gharama yake😡
Hebu tuwe tunasema ukweli kidogo jamani kwenye biashara sema hizi fake kuliko kudanganya kila mtu anajua ni gharama zaidi ya hiyo bei.mkuu why dont u come to see the product instead of assuming.i have sold some and no problem with my customers.
Hebu tuwe tunasema ukweli kidogo jamani kwenye biashara sema hizi fake kuliko kudanganya kila mtu anajua ni gharama zaidi ya hiyo bei.
Mbona wachina wanapowauzia wanawaambia ukweli...............
Mkuu hizi ni headphone ambazo zina label ya dr dre,so ni headphone na earphone ambazo zimekuwa designed na zina nice sound quality,so kuna different typer,come and see mkuu you wont regret.kwan ndugu yangu hizi unazouza ndio nini?...mie hata sizijui..tafadhali nijulishe unaweza kuta na mie nazihitajiii..dr.dre mie namjua ni bonge la mtaalamu kunako music sasa anauza nini?..au vifaa vya studio yake ya aftermath???...nahisi hivo vifaa vitakuwa ni used kwa jinsi ulivyosema bei zake...alafu mkuu inamaana ukinunua unakuwa unatisha kama dr. dre??...NAOMBA KUJUZWA KATIKA HILI MIE NAJIONA KAMA MJINGA
Mkuu hizi ni headphone ambazo zina label ya dr dre,so ni headphone na earphone ambazo zimekuwa designed na zina nice sound quality,so kuna different typer,come and see mkuu you wont regret.
bandugu no need to get harsh on da fellow,these dr dre beats were the extended version of dr dre himself to support those people who cant afford the high price dr dre beats..so its not like the product is different hapana its da same genuine product in which he reduced the cost and threw it in promotions..chech the below links for more reference..
Cheap Dr Dre Beats Studio review price, cheap-drdrebeats.com
Cheap beats by dre monster beats,cheap dr dre beats sale store 60% OFF.
Thanks for nice challenge wanajamvini,coz here we dare to talk openly,we are selling this as the promotion price,to establish chanell,between we and our customers,also to assure our supplier,if ur interested come and see,may be i will get more education on how this products are,visit us please,come and see,lets be flexible.