Chealsea yatabiriwa ubigwa

Chealsea yatabiriwa ubigwa

Paulo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Posts
342
Reaction score
71
Chelsea+Vs+Barca-Twiga.jpg


KAMA AMBAVYO HAIKUTABIRIWA KUWA CHELSEA NA BUYERN WANGEFIKA FAINALI, VIVYO HIVYO HAIJATABIRIWA KUWA CHELSEA ATANYAKUA KOMBE. LAKINI UKITIZAMA TIMU NNE ZILIZOINGIA NUSUFAINALI UTAONA KWAMBA KATIKA UBORA BARCA NI NAMBA 1, MADRID NAMBA 2, BAYERN NAMBA 3 NA CHELSEA NAMBA 4. NA UKIANGALIA TIMU ZILIZOANZA KUTOLEWA UTAGUNDUA KWAMBA TIMU BORA KABISA AMBAYO NI NAMBA 1 NDO ILIYOANZA KUFUNGASHA VIRAGO, IKAFUATA ILE YENYE UBORA WA NAMBA 2. TABIRI MWENYEWE KUA TA TATU KOTOKA ITAKUA YENYE UBORA NAMBA XXX.....HIVYO BASI BIGWA NI..........................NAWASILISHA!
2012-04-27_0957.png


Source: http://www.eurotopfoot.com/indexgb.php3
 
asante mkuu utabiri wako mzuri tupo pamoja.
 
Mkuu umetumia kigezo gani kuiweka Madrid namba 2 na hiyo Munich namba 3...?! Hebu nijibu hiyo kwanza kbl ya kuendelea.
 
Nimesoma title nilipoona na jina lako nikadhani yule pweza wa Kijerumani kafufuka
 
Kuanzia Kisoka uwanjani mpaka kihistoria Chelsea hachomoki kwa wale majamaa.
 
Nimesoma title nilipoona na jina lako nikadhani yule pweza wa Kijerumani kafufuka

Tehe tehe.......Ndugu yangu hata mimi nilikua sijajua kua jina langu ni sawa na lile la yule pweza wa kijerumani (R.I.H.=Rest in Hell). Wapumbavu sana wale. Jina langu lafanana na la Mtume Paulo, sasa wale Freemasons wa kijerummani kwasababu ni wapinga Kristo basi wakambatiza pweza wao jina hilo. Hope kweli Chelsea watajenga heshima.
 
Back
Top Bottom