GE2025 CHAUMMA: Watia nia ubunge ni 70% ya majimbo Bara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema hadi kufikia Agosti 4, 2025 kimepata jumla ya watia nia wa udiwani 2,116 kati ya kata 3,953, sawa na asilimia 53 ya kata zote nchini.Aidha, kwa upande wa ubunge, CHAUMMA imesema ina watia nia 183 kwenye majimbo 162 kati ya majimbo 222, sawa na asilimia 70 ya majimbo yote Tanzania Bara

1754571924691.jpeg
 
Mmejitahidi sana.Chama bado kichanga sana lakini mmeweza kupiga hatua
 
Back
Top Bottom