PreGE2025 CHAUMMA wakosa kibali cha helikopta kutua Mwanza, Mikutano yakwama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.

Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2025 Jijini Mwanza.

Kigaila amesema awali walipanga tarehe ya mkutano wakitegemea kupata vibali hivyo mapema lakini hadi hivi sasa bado hawajafanikiwa kuvipata na hivyo kupanga kufanya mkutano huo Juni 3, 2025.

"Tulipofika Mwanza tumeona tusogeze siku mbele kwa sababu mbili, sababu ya kwanza mpaka leo hatujapata kibali cha helkopta, ukiwa hujapata kibali huwezi kuendelea na tarehe hiyo hiyo huku ziku za kutafuta kibali zinapungua kwa busara ya kawaida tumeona tusogeze siku mbele ili tuongeze juhudi ya kutafuta kibali, na uwanja wa kufanyia mkutano," amesema.
 
View attachment 3349801
Umeongea bila matusi dhidi ya DED
 
Wakodi tu ukumbi wa starehe unawatosha. Helicopter yao itue nje ya mji waende kwa bodaboda!
 
AKINA MAMA, OOH CHAUMA NI CCM, INGELIKUWA NI CCM - B, WANGEFANYIWA FIGISU KWENYE, ISSUE ZA VIBALI.
===
KARIBUNI CHAUMMA TUKIPE NGUVU CHAMA CHETU, TUJITOSE NACHO KATIKA NAFASI MBALI MBALI ZA KIONGOZI, UBUNGE, UDIWANI NA URAIS, NAFASI ZIPO WAZI TUJITOSE, TUACHE VIJIMANENO VYA KWENYE KHANGA!
====
FB_IMG_17485156403936069.jpg
 
Hayo ni maigizo wanajaribu kujifanya wanabalance ili ionekane CHAUMMA sio project ya CCM kwamba wanaweza nyimwa kibali kama CHADEMA .

Muda ni shahidi kibali watakuja kupewa hii ni stage managed.
Wala hata siyo maigizo wamekosa wanachama. Wewe leo umwambie mtu njoo kwenye mkutano wa chauma atakuuliza chauma ndio Nini🤣
 
Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.

Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2025 Jijini Mwanza.

Kigaila amesema awali walipanga tarehe ya mkutano wakitegemea kupata vibali hivyo mapema lakini hadi hivi sasa bado hawajafanikiwa kuvipata na hivyo kupanga kufanya mkutano huo Juni 3, 2025.

"Tulipofika Mwanza tumeona tusogeze siku mbele kwa sababu mbili, sababu ya kwanza mpaka leo hatujapata kibali cha helkopta, ukiwa hujapata kibali huwezi kuendelea na tarehe hiyo hiyo huku ziku za kutafuta kibali zinapungua kwa busara ya kawaida tumeona tusogeze siku mbele ili tuongeze juhudi ya kutafuta kibali, na uwanja wa kufanyia mkutano," amesema.
View attachment 3349801
1748530383222.jpeg
 
Mambo ya msijali au?
 
Mwanza mmetuona washamba wa kujaza uwanja wenu kushangaa hiyo helkopta. Hatujiiiii! Hivi Kigaila ni mgogo wa Dodoma?
 
Back
Top Bottom