kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,738 Reaction score 25,554 Aug 31, 2025 #1 Yani kujimwambafai kote kule. Hawa ndio watu wanaohudhuria uzinduzi wa mikutano yenu kweli? Attachments Screenshot_20250831_225419_Instagram.jpg 231.8 KB · Views: 13
Abou Shaymaa JF-Expert Member Joined Oct 19, 2022 Posts 2,117 Reaction score 5,240 Aug 31, 2025 #2 CHADEMA wangewahi Kujaa Kama Hvyi Ile Mikutano Ya Tundu Eeeh Machawa Wake Wangejaza Nyuzi Humu 😂
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Aug 31, 2025 #3 Abou Shaymaa said: CHADEMA wangewahi Kujaa Kama Hvyi Ile Mikutano Ya Tundu Eeeh Machawa Wake Wangejaza Nyuzi Humu 😂 View attachment 3460651 Click to expand... CHadema inawaumiza roho eeh?? Wtu wamejiamulia kukaa pembeno wamewaachia ,ila bado kuwataja kila dakika, kwasasa fanyeni ku deal na kujilinganisha na Chauma na Act!!
Abou Shaymaa said: CHADEMA wangewahi Kujaa Kama Hvyi Ile Mikutano Ya Tundu Eeeh Machawa Wake Wangejaza Nyuzi Humu 😂 View attachment 3460651 Click to expand... CHadema inawaumiza roho eeh?? Wtu wamejiamulia kukaa pembeno wamewaachia ,ila bado kuwataja kila dakika, kwasasa fanyeni ku deal na kujilinganisha na Chauma na Act!!
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 11,665 Reaction score 12,509 Aug 31, 2025 #4 Nani ataenda kusikiliza watangazaji wa Chanel 10