Chato kuwa kituo cha muda kwa majeshi ya SAMIDRC kurejea makwao kutoka Congo

Chato kuwa kituo cha muda kwa majeshi ya SAMIDRC kurejea makwao kutoka Congo

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,025
16 June 2025
Waterkloof Air Force Base,
South Africa

Kufuatia vikosi vya SADC vya Tanzania, Afrika ya Kusini na Malawi kuondoka Goma DR Congo kupitia Chato Geita Tanzania

Shirika la ndege la Tanzania limepewa jukumu la kuwasafirisha hadi nyumbani kutoka uwanja wa ndege wa Chato

2nd batch of SANDF troops back on home soil​


View: https://m.youtube.com/watch?v=xzJbRNkJyIg

TOKA MAKTABA :

Juhudi wa mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi ya SADC Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania , wakuu wa majeshi wa SADC, wakuu wa vikosi vya SAMIDRC na wakuu wa nchi wa SADC wamewezesha kupatika uwezekano wa majeshi ya SAMIDR kuondoka salama kupitia Rwanda na Chato Tanzania

01 May 2025
Pretoria
Republic of South Africa

CHATO KUWA KITUO CHA MUDA KWA MAJESHI YA SAMIDRC KUREJEA MAKWAO KUTOKA CONGO

Inaripoti vyanzo katika kikosi cha Afrika Kusini SANDF vikisema agizo la kuanza kufunga virago lilikuja kabla tu ya wikendi iliyopita. SAMIDRC ina vikosi kutoka nchi za Afrika ya Kusini, Malawi na Tanzania vilivyokuwa nchini DR Congo kwa mwaliko wa serikali ya Kinshasa.

Chapisho hili linaripoti zaidi, vifaa na wafanyakazi watasafiri katika misafara mbalimbali kupitia Rwanda hadi Chato kaskazini-magharibi mwa Tanzania. Mji wa kando ya Ziwa Viktoria wenye uwanja wa ndege , kilomita 500 kutoka Goma na Sake DR Congo, utakuwa eneo la mwisho kabla ya kugawanyika kwa vikosi vyake kwa ajili ya kurejeshwa katika nchi zao.

"Hatuachi chochote nyuma," mwanajeshi wa Afrika Kusini anaripotiwa kusema, na mwingine kwenye rekodi akisema "Kama tunavyojua, Kikosi cha Sapoti ya Haraka (QRF) kitaondoka mwisho kutoa ulinzi katika mkia wa msafara mzima."

"Agizo tulilopewa linasema ifikapo Mei 30 kila mtu na kila kitu kinapaswa kuwa nje ya Goma na njia yake. Ilikuwa pilikapilika mwishoni mwa juma, lakini hakuna anayelalamika kwa sababu hatimaye tunarudi nyumbani," mwanajeshi mmoja anaripotiwa kusema.

defenceWeb inaelewa kuwa hatua hiyo imeanza, huku mizinga ikihamishwa kuanzia Jumanne tarehe 29 Aprili 2025. Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wanaodhibiti Goma na Sake inaonekana wamekuwa wakiratibu na wakikagua vifaa vinavyoondoka vya SAMIDRC, jambo ambalo limewakera wanajeshi.

Maagizo ya kufungasha na kuondoka yanalingana na mpango wa wakuu wa ulinzi wa majeshi ya nchi hizo tatu TCC zenye majeshi chini ya mwamvuli wa SAMIDRC waliopendekezwa katika mkutano wa Aprili 11, 2025 jijini Dar es Salaam Tanzania na wawakilishi wa SADC. Wakuu hao walionyesha kufadhaika kuhusu kucheleweshwa kwa SADC kukarabati na kuandaa njia ya ndege ya uwanja wa ndege wa Goma ambayo bado inashikiliwa na waasi hivyo kuafiki njia ya kupita Rwanda hadi Chato Tanzania. Lakini hatimaye rais Paul Kagame aliafiki majeshi ya SADC ya SAMIDRC watumie njia ya kupitia Rwanda yenye usalama wa kuaminika kuondoa majeshi hayo wageni wa serikali ya Kinshasa hadi Chato.

SAMIDRC withdrawal from DR Congo through Rwanda and Chato.​

Confimed that soldiers from Malawi, Tanzania and South Africa were withdrawing from bases in Goma and Sake with all equipment.

Tshabalala said a reconnaissance mission, which included representatives from Malawi, South Africa, Tanzania and the Sadc secretariat was conducted from April 14 to 19 to assess and confirm the withdrawal route from Goma through Rwanda to Chato, Geita region in Tanzania towards the respective TCC home countries.

“The team’s findings informed the finalisation of the withdrawal plan. This plan will ensure the safe and efficient return of personnel and assets.

“The withdrawal will take place in phases and the SANDF will provide regular updates to the public regarding the safe return of our soldiers to South Africa,” he said.

defenceWeb understands that the move has begun, with artillery being moved as from Tuesday 29 April. The Rwanda-backed M23 rebels controlling Goma and Sake have apparently been inspecting outgoing SAMIDRC equipment, much to the irritation of soldiers.

The pack up and go orders correspond with the plan the defence chiefs of the three SAMIDRC TCC proposed at an 11 April meeting in Dar es Salaam with SADC representatives. The chiefs voiced frustration about the delay in SADC repairing and preparing the Goma airport runway still held by the rebels.

The pack up and go orders correspond with the plan the defence chiefs of the three SAMIDRC TCC proposed at an 11 April meeting in Dar es Salaam with SADC representatives. The chiefs voiced frustration about the delay in SADC repairing and preparing the Goma airport runway still held by the rebels.

They proposed the withdrawal, earlier agreed to by M23 senior military hierarchy, continue by road. The SADC secretariat had to obtain Rwandan approval for safe passage through the country. It was later reported in Rwandan media that President Paul Kagame approved secure passage for SAMIDRC.
 
ASKARI ZAIDI WA SANDF Jeshi la Taifa la Ulinzi waliokuwa ktk vikosi vya SADC SAMIDRC wakiendelea kuwasili nyumbani Jamhuri ya Afrika ya Kusini :

We cross now to SABC News Reporter Makgala Masiteng in Bloemfontein, Republic of South Africa ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=ihSJwh3FfMs
 
Juhudi wa mwenyekiti wa kamati ya Siasa, Usalama na Ulinzi ya SADC Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania

Hongera mwenyekiti wa Kamati ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya nchi za SADC mheshimiwa Dr Samia Suluhu Hassan

HER EXCELLENCY DR. SAMIA SULUHU HASSAN, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND CHAIRPERSON OF THE SADC ORGAN ON POLITICS, DEFENCE AND SECURITY​


Rais Dr. Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa chombo cha nchi wanachama wa SADC cha Siasa, Ulinzi na Usalama
 
Kutoka makao makuu ya SANDF


View: https://m.youtube.com/watch?v=adOr2VI-8DE

'Defence budget cuts crippling SANDF': Motshekga. The group of 249 troops who were deployed to the eastern Democratic Republic of Congo (DRC) ...

Siphiwe Dlamini, General Sangweni, Minister Angie Moitshekga and Lt Setshongaye Briefing the media at the Tembe military base in bloemfontein on the process unfolding to bring the Soldiers who were enjured in the DRC.

Siphiwe Dlamini, General Sangweni, Minister Angie Moitshekga and Lt Setshongaye Briefing the media at the Tembe military base in bloemfontein on the process unfolding to bring the Soldiers who were enjured in the DRC.
Image: Thapelo Morebudi
 
Kuwasafirisha toka chato hadi nyumbani. Kwani Chato siyo nyumbani?
Chato ni nyumbani kwa sandf? Hujasoma kuwa kutokea hapo watatawanyika? Wa south africa watarudi zao bloemfontein kwa aibu baada ya kupapaswa na m23, same to malawian and tanzanian as well, kikwete aliwaweza hawa m23, sijui samia kakwama wapi.
 
Chato ni nyumbani kwa sandf? Hujasoma kuwa kutokea hapo watatawanyika? Wa south africa watarudi zao bloemfontein kwa aibu baada ya kupapaswa na m23, same to malawian and tanzanian as well, kikwete aliwaweza hawa m23, sijui samia kakwama wapi.
Umeeleweka.
 
Kuwasafirisha toka chato hadi nyumbani. Kwani Chato siyo nyumbani?

Wanajeshi wa vikosi vya SAMIDRC kutoka nchi za SADC waliokuwa Chato kutoka Goma DR Congo, walitoka nchi za Malawi na South Africa
 
16 June 2025
Another group of South African soldiers is expected to land this afternoon at Waterkloof Air Force Base in Pretoria. They had been deployed to Goma in the DRC as part of a regional peacekeeping mission in the conflict-ridden North Kivu province. Newzroom Afrika's Scara Mafokoane reports..


View: https://m.youtube.com/watch?v=JZSPnBgxWSA
Source : Newzroom Afrika
 
maokoto ya mchongo toka kwa wazungu yamebuma rasmi hawa walikuwa hawalindi aman wanalinda wazungu wachimbaj madini....
Kama walipata.muda wakufanya mapenzi mpaka kutiana mimba wao kwa wao, Unategemea nini hapo?
 
Binafsi namshukuru Mungu kwa majeshi yetu kutoka huko salama! Hakuna cha maana walichokwenda kufanya.
 
Hongera mwenyekiti wa Kamati ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya nchi za SADC mheshimiwa Dr Samia Suluhu Hassan

HER EXCELLENCY DR. SAMIA SULUHU HASSAN, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND CHAIRPERSON OF THE SADC ORGAN ON POLITICS, DEFENCE AND SECURITY​


Rais Dr. Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa chombo cha nchi wanachama wa SADC cha Siasa, Ulinzi na Usalama


27 June 2025

TRUMP AJITWISHA MGOGORO WA CONGO, JE NO REFORMS NO ELECTION TRUMP ATAJITOSA PIA ?


View: https://m.youtube.com/watch?v=nWcpp2YU6xk
 
Back
Top Bottom