Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,941
Chatini hiyo nazi yake unakuna kwa kibao kisha kwenye blender unasaga nazi, pilipili, mvuje na kotmiri.
Baada ya hapo unaweka katika bakuli unaongeza chumvi, ndimu na karoti laini ilioparwa.
Ahsante kwa maelezo murua. Naona MziziMkavu ameyaambatanisha kwenye posti yake...Chatne hiyo nazi yake unakuna kwa kibao kisha kwenye blender unasaga nazi,pilipili,mvuje na kotmiri. Baada ya hapo unaweka katika bakuli unaongeza chumvi, ndimu na karoti laini ilioparwa.
Ahsante kwa maelezo murua. Naona MziziMkavu ameyaambatanisha kwenye posti yake...
apo chacha nimetaman nikimbilie sehem nikapate haya makitu nimemis escape 1 kipindi cha mfungo lol!
apo chacha nimetaman nikimbilie sehem nikapate haya makitu nimemis escape 1 kipindi cha mfungo lol!
Unaweza tumia embe pia badala ya ndimu
hilo embe lazima liwe dodo changa..
apo chacha nimetaman nikimbilie sehem nikapate haya makitu nimemis escape 1 kipindi cha mfungo lol!
uko sahihi kaka ni hatari.. gfsonwin afanye aje apate ladha kaka MphamvuUrojo unapatikana Msikiti wa Kichangani Magomeni,Masjid Kiblatein, KAriakoo na Msikiti wa Manyema, hukohuko Kariakoo na juisi za aina mbalimbali mradi tu uweze kula huku umesimama. Pale Coco Beach pia upo ila hapanibariki sana kwa kuwa bei huwa juu na mara kadha nimelishwa urojo wa baridi. Mimi na vanmedy huwa tuna kiota chetu pale Msasani mkabala na Kanisa la Kilutheri, unakaribishwa pia.
nashukuru sana Mphamvu na vanmedy sasa itabidi nibadili kijiwe badala ya kila siku kunywa ghahawa jion pale silevr spoon nitakuwa nabadili siku nyingine naja kula urojo msasani ila tu mnishike mkono mwenzenu mie mitaa iyo mgeni. haya shostito wangu cacico sasa tumepata kijiwe cha kubadilisha fancy za jion.
Shaka ondoa, sio lazima kila siku kuwaungisha Bruariz tu...