Mara nyingi wadada wengi huwa hawapendani nashindwa kuelewa nikwanini.Kuna kaukweli fulani hapa
Unafki ni mwingi, utasikia bebe love mara sijui my wizo my cuzo lakini kiuhalisia hawamaanishi wanachokisema. Nina chawa wangu mmoja conversation yangu mi na yeye ni kuzinguana na vitusi vya hapa na pale lakini tunajuana urafiki wetu uko vipi!!Mara nyingi wadada wengi huwa hawapendani nashindwa kuelewa nikwanini.
Dah! Hatari sana Mkuu.Unafki ni mwingi, utasikia bebe love mara sijui my wizo my cuzo lakini kiuhalisia hawamaanishi wanachokisema. Nina chawa wangu mmoja conversation yangu mi na yeye ni kuzinguana na vitusi vya hapa na pale lakini tunajuana urafiki wetu uko vipi!!
akikupa taarifa ndo unakubali?Kitu pekee tunachoogopana ni kuchapiana!.. Ukinichapia bila taarifa tegemea ugomvi.
Hao wanaopenda kuitana cuzoo ndo wanaongoza kwa kuibiana vibwanaUnafki ni mwingi, utasikia bebe love mara sijui my wizo my cuzo lakini kiuhalisia hawamaanishi wanachokisema. Nina chawa wangu mmoja conversation yangu mi na yeye ni kuzinguana na vitusi vya hapa na pale lakini tunajuana urafiki wetu uko vipi!!
Inabidi atoe taarifa kama anataka kukuchapia?Kitu pekee tunachoogopana ni kuchapiana!.. Ukinichapia bila taarifa tegemea ugomvi.
Ngoja nimpandie mjizi wangu hewani maana lile barobaro lazima linitoe chicken rostNdio maana sinaga mashost wala sihitaji marafiki[emoji23]
Likikutoa chicken rost uniite na mi nije kuwapa kampaniNgoja nimpandie mjizi wangu hewani maana lile barobaro lazima linitoe chicken rost
Kama kawaida huwezi lala njaa ukiwa na masela kitaa.Likikutoa chicken rost uniite na mi nije kuwapa kampani
mzee baba we sio wa morogoro kweli? [emoji119]WASICHANA WAKICHAT
MDADA1; Mambo kipenzi, nimekumiss dear
MDADA2; poa lov, nimekumiss pia
Niliiona pc ulopost fb its so cute
MDADA1; Asante dear namii nimeona umempost upo na shem, u look so cute 2gther, weekend hii upo home nikutembelee
MDADA2; Whaoo asante my love. Weekend nipo njoo ntakuandalia pancakes km kawaida yangu
MDADA1; thats my girl, nikiwa nakuja ntakucall my
MDADA2; Waiting for u. Bye love
BAADA YA CHATTING
MDADA1; huyu mwehu anajichetua sikuizi, tangu nimsifie anajua kupika pancakes basi ndo anaringishiaaa (msonyoooo)
MDADA2; hee huyu shogaangu mroho balaa kwanza anamdomo simpend kama nini. Naomba hata asije
CHATING ZA WAKAKA
KAKA1; We choko upoo, umepotea sana hewani ulivyo fala najua ushahonga simu
KAKA2; Achana na mimi we bwege, nani ahonge simu we fala nini
KAKA1; Naona hupatikani hewani nikajua huyu mjinga kashaingizwa mjini,
Sasa weekend wapi
KAKA2; Simu ilizingua af maza alikuwa anaumwa mzeya
KAKA1; Basi mimi nipo hapa samakisamaki njoo na tumbo lako tu nina kreti 2 full
KAKA2; Poa mzee ngoja nijiandae hapa najua we bwege mkeka ushatick
BAADA YA CHATING
MKAKA1; This guy is so cool, yani tukipiga stori naonaga nipo na bonge la genious
MKAKA2; Yani huyu rafiki angu ndo best friend ninayemtegemea ana roho nzuri sana.
Moral of the story;
Wadada wengi ni wanafiki wanachat kama marafiki kweli kumbe moyoni wanachukiana.
Wakaka wengi wanachat kama hawapendani lakini mioyoni ndo wanapendana na kusapotiana