CHASO wamjia juu Geofrey Kiliba

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
123
Reaction score
132
Mwenyekiti wa CHADEMA STUDENTS ORGANIZATION (CHASO) Mkoa wa Mwanza, Japhet Manyama Zakayo amjia juu Geofrey Kiliba baada ya kauli yake ya kwamba Rais Samia Suluhu Hassan alifiwa na mume wake na hakuna kiongozi yoyote wa CHADEMA alikwenda kumuona.
Your browser is not able to display this video.

​
Kauli hiyo ya Kiliba imefanya Mwenyekiti wa CHASO kuhoji na kusema "kuna mwanafunzi anaitwa James Temba alikatwa kichwa na hukutoa tamko lolote"

Soma pia: Kiliba: Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…