Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

thanks mkuu, kwakweli Kubota ni muda siju yuko wapi, naona amejua tunaweza kujisimamia kwa miguu yetu sasa amepotea but mission accomplished
 
Hahaaa usijali hapo nilikua nachokoza tu, lakini kwakweli wengi wetu tunapenda sana kujua contents ili tuweze focus kwenye issue husika, hata tukiaga uku tujue twasemaje ati maana semina za ujasiriamali ziko hadi kitaa tutaulizwa Moro kunani?

Tukiwa watu na biashara tofauti tutajifunza mengi
pia nafikiri tutaje tarehe pendekezo kabisa ili watu tuone au kujipanga. Asante

Hivyo vikao naomba visiingiliane na ratiba ya MANUTD
 
Mkuu ikiwa mapema mwaka mpya itakuwa vizuri sana. Tujumuishe tutakayotoka mayo huko kwenye mipango ya mwaka mpya
 
Mkuu ikiwa mapema mwaka mpya itakuwa vizuri sana. Tujumuishe tutakayotoka mayo huko kwenye mipango ya mwaka mpya

Yes inaweza kuwa hivyo nazani kama wadau watakubaliana inaweza kuwa mapema February ambapo mambo yanakuwa yameludi normal si unajua mikikimikiki ya january? Ila ni muhimu watu wakaipa umuhimun hii ishu
 
nimewapata wakuu Mbepo Lyamba na Chasha hiyo February na mie naunga mkono. January mvurugano sana.

Naaaam! Mama Joe habari ya weekend jamani! Bila shaka U mzima na familia........hakika hata hiyo february si mbaya kabisa!

Kwa ujumla naunga hoja mkono!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
thanks mkuu, kwakweli Kubota ni muda siju yuko wapi, naona amejua tunaweza kujisimamia kwa miguu yetu sasa amepotea but mission accomplished

Mkuu.... Kubota nimempata hewani muda kidogo iliyokatika na amefurahi sana kwa habari hii na amenihakiki ya kwamba Mola akitujalia atashiriki nasi!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wangu Saharavoice habari ya siku nyingi Kamanda wangu!
Karibu sana jukwaa lengwa na hakika nambari yako ninayo na nitakuseach majaliwa kesho Kamanda wangu na nina IMANI tosha ya kwamba tupo mwanzo mwisho Kamandaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Naaaam! Mama Joe habari ya weekend jamani! Bila shaka U mzima na familia........hakika hata hiyo february si mbaya kabisa!

Kwa ujumla naunga hoja mkono!!!!!!

weekend njema sana mpendwa ndo sikukuu imeanza hivyo. Majogoo wachache wakuuza walau tupate ya soda. Huku vifaranga wa broiler tupate ya fees january! Heri ya mwaka mpya kwako na familia. Hope na kuku wakuuza msimu huu pia
 
Last edited by a moderator:
Aisee Wakuu Chasha Poultry Farm Mama Joe na LiverpoolFC Natanguliza Shukrani Zangu Kwenu na Wadau Wote Humu. Nimependa Sana Hili Wazo la Network ya Wajasiriamali.

Mimi Naomba Jambo Moja Wakuu,Kwamba Mnaonaje Hata Bado Ambao Hawajaanza Business Yeyote Pia Wakahudhuria Ili Angalia Kupata Uzoefu Kutoka Kwenu? Kama Hili Litwezekana Basi Nitashkuru Sana Mana Natamani Sana Kushiriki Ila Bado Sijaanza Business Yeyote.
 
Last edited by a moderator:
Karibuni jamani tupate kujumuika pamoja naona Bw Daffa na Untie wanasogea taratibu wote bado tunajifunza hatujafik bado
 
Mkuu pale inatakiwa watu watoe maada na watu waachiane business card/contact za biashara that is why inapendeza sana unapo simama na kusema mimi nasindika maziwa au mimi ni mtaalamu wa IT, kuliko kuja kuwa msikilizaji, ila wazo lako sio baya
 
hapo nakupata mkuu kidogo kidogo tunaanza kuelewa ila kama wasikilizaji wenye nia ya kuanza biashara nao wangejieleza tu nini wana plan kufanya na hivyo watu watachukua contact zao for future use au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…