Ni ya mwaka 1998, 4 cylinders, Automatic Transmission, Fuel consumption 8km/Ltr, imelipiwa M/Vehicle license na Third Party Insurance hadi mwakani na ipo katika hali nzuri kama inavyoonekana kwenye picha hizo.
Bei 5m/= tu. Ninaiuza kwasababu za matatizo ya kifamilia vinginevyo nisingethubutu! Karibuni kwa wale mtakaohitaji.