...na wengine wote humu ndani, hamjamboo?
charminglady hajambo, kwani vipi umemuota nini?
Mtambuzi na Asprin waliniambia eti mtalaka hatongozwi nawe ndio gia yenyewe unaingia nayo?
X shemeji mdogo wangu CHAMInglady hajambo!
kulikoni asubuhi namna hii unamsumbua?
nilikuwa na code nikachoka nikaona miwape hi mkwe, kuna ubaya
sio mabaya, nimelala saa kumi na mbili yani nimeamka muda sio mrefu