Charmello Anthony na kufufuka kwa NY Knicks.

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372
carmelo-knicks-600x439.png


images


Dogo (C. Anthony) will make his NY Knicks debut tonight againts the Bucks Milwaukee. Binafsi kama mpenzi wa Knicks natumaini huenda huu ukawa mwanzo wa kufufuka kwa hii timu, kwani ukibonde ulikuwa umezidi.
Inawezekana ni ndoto zangu za mchana, lakini naangalia forward yenye Carmello, Amare Stoudemire na C. Billups ....... I guess we should expect some good stuff.
 
sikujua kama carmelo atahama nugget....ngoja tumuone...
 
[video]http://ca.sports.yahoo.com//video/player/nba#nba/24296821[/video]

Yo yo bwana mdogo kaanza vizuri kwani jana Knikcs (Vibonde) wamemtungua The Bucks 114- 108 (Angalia Video). Labda Knicks wanaweza kurudia ile hadhi yao enzi za kina Ewings, Ockley, Weber na John Stacks.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom