Hiyo ya kula umeme kama mchwa ni kweli, umeme wa elfu 25,000 ulikuwa wanitosha mwezi mzima, siku hizi bila 35,000 tena nanunua kwa mafungu mwezi hauishi.....
Nililalamika mahali nikagundua kumbe sipo peke yangu.....
Kila mahali mwananchi anakamuliwa....mpaka tutoke damu ndo wataridhika