Charges Sought in Death of Congo Leader Lumumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Charges Sought in Death of Congo Leader Lumumba

Discussion in 'International Forum' started by Estmeed Reader, Jun 21, 2010.

 1. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #1
  Jun 21, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BRUSSELS – A group of legal activists formally requested war-crimes charges Monday against a dozen Belgian government officials and military officers widely suspected in the assassination of Patrice Lumumba, Congo's first democratically elected prime minister.

  Lumumba headed Congo's largest political party and became leader when Belgium granted independence to the country on June 30, 1960 after a century of colonial rule. Many in the West viewed the charismatic prime minister as a dangerous radical because he wanted to nationalize the new nation's lucrative, Belgian-owned gold, copper and uranium mining industry.

  Hii isiishie kwa kesi ya Lumumba tu; mamuluki (mercenaries) waliotamba Afrika wote washitakiwe

   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Viongozi wa kiafrika baada ya uhuru walikuwa tishio kwelikweli, na nadhani pengine arguably unaeza kusema walikuwa na maono ya mbali ambayo hawa wa hivi sasa will never achieve. Wakati kipindi hicho kiongozi wa kiafrika aliheshimiwa na kuogopwa, kwamba wanaweza kuweka rasilimali chini ya usimamizi wa dola, viongozi wa siku kutwa wapo majiani na kwingineko kunadi rasilimali zetu kwa wageni! Nina hakika akina Lumumba na Nkrumah wakifufuka leo hii wanaeza kufa kwa kihoro na huzuni.
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Mkuu maadui bado ni wale wale,tofauti ni kwamba sasa wana rubber stamp yao named mafisadi.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mzee,

  Hivyo ndivyo ilivyo.

  Kwamba 'civillization' ya kipindi cha around 1950s and 1960s, direct exploitation through millitary conquest, ilionekana kama barbaric na sio appealing ktk kughilibu masses. Hivyo basi ili ionekane makoloni yanatendewa haki, wakatupa 'uhuru' lakini baada ya careful analysis kuona kwamba hakutakuwa na impact kwenye maslahi yao.

  Hawa watu bado kwa kiwango kikubwa walikuwa wakitegemea makoloni yao, kuanzia kwene raw materials, fuel, usafirishaji (kwene baadhi ya maeneo), masoko hadi vitega uchumi vingine walivyoweka kipindi cha ukoloni. Mojawapo ya mbinu walioifanya ni kuweka mamluki wao kwene safu za uongozi, mauaji (kama hayo ya Lumumba) na pia kuanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe.
   
Loading...