Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Dec 10, 2017 #1 Mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara zangu, natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 18-28 aniazime charger ya Nokia* ♂♂♂
Mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara zangu, natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 18-28 aniazime charger ya Nokia* ♂♂♂
Castr JF-Expert Member Apr 5, 2014 31,993 64,035 Dec 10, 2017 #2 Wewe kwanini unavuta bangi peke yako?
Mtetezi.com JF-Expert Member Oct 6, 2016 3,134 3,568 Dec 10, 2017 #3 Shule kumbe zimeshafungwaee? Pumbafuuuuuu Nenda tuition ww.
mojave JF-Expert Member Apr 30, 2016 5,564 6,403 Dec 10, 2017 #4 Castr said: Wewe kwanini unavuta bangi peke yako? Click to expand... Tena anavutia chooni
Anakuja Yesu JF-Expert Member Mar 3, 2017 564 485 Dec 10, 2017 #8 Yesu ni chaja pekee dunian na mbingun,vip tukikuazima hiyo!