Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,355 Jul 16, 2011 #1 Naomba niulize tena huku; Nataka kununua charger ya battery ya gari ili kukabiliana na mgao wa umeme. Je, zinapatikana wapi, na kwa bei gani?
Naomba niulize tena huku; Nataka kununua charger ya battery ya gari ili kukabiliana na mgao wa umeme. Je, zinapatikana wapi, na kwa bei gani?
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,943 Reaction score 808 Jul 16, 2011 #2 Tuko said: Naomba niulize tena huku; Nataka kununua charger ya battery ya gari ili kukabiliana na mgao wa umeme. Je, zinapatikana wapi, na kwa bei gani? Click to expand... Mi ningekushauri ununue solar panel kwani itakuwa inachaji betri lako bila ya gharama yoyote coz betry charger linatumia umeme kufanya kazi.
Tuko said: Naomba niulize tena huku; Nataka kununua charger ya battery ya gari ili kukabiliana na mgao wa umeme. Je, zinapatikana wapi, na kwa bei gani? Click to expand... Mi ningekushauri ununue solar panel kwani itakuwa inachaji betri lako bila ya gharama yoyote coz betry charger linatumia umeme kufanya kazi.
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,355 Jul 16, 2011 Thread starter #3 omary salum said: Mi ningekushauri ununue solar panel kwani itakuwa inachaji betri lako bila ya gharama yoyote coz betry charger linatumia umeme kufanya kazi. Click to expand... Nafahamu mkuu, but kwa maeneo niliyopo ukiweka solar panel leo, inachukuliwa usiku huohuo...
omary salum said: Mi ningekushauri ununue solar panel kwani itakuwa inachaji betri lako bila ya gharama yoyote coz betry charger linatumia umeme kufanya kazi. Click to expand... Nafahamu mkuu, but kwa maeneo niliyopo ukiweka solar panel leo, inachukuliwa usiku huohuo...
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,045 Jul 16, 2011 #4 Tuko said: Nafahamu mkuu, but kwa maeneo niliyopo ukiweka solar panel leo, inachukuliwa usiku huohuo... Click to expand... Kwa hatua uliyofikia mkuu... Suluhisho ni kuandamana hata peke yako!! Khaaa!
Tuko said: Nafahamu mkuu, but kwa maeneo niliyopo ukiweka solar panel leo, inachukuliwa usiku huohuo... Click to expand... Kwa hatua uliyofikia mkuu... Suluhisho ni kuandamana hata peke yako!! Khaaa!
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,943 Reaction score 808 Jul 16, 2011 #5 Tuko said: Nafahamu mkuu, but kwa maeneo niliyopo ukiweka solar panel leo, inachukuliwa usiku huohuo... Click to expand... Huo wizi wa kupanda juu ya mabati ni kiboko sijawahi kuuona.
Tuko said: Nafahamu mkuu, but kwa maeneo niliyopo ukiweka solar panel leo, inachukuliwa usiku huohuo... Click to expand... Huo wizi wa kupanda juu ya mabati ni kiboko sijawahi kuuona.