charger nadhalilika mnisaidie.

charger nadhalilika mnisaidie.

Sasa wewe peri unaleta njaa, Mi nishawahi unaingilia mchongo,
Naweza kuelewa kuwa nawewe unautaka mchongo lakini hapa pa kushusha kamisheni ndio umeharibu kabisa kama vipi chukua tenda ila najua utachemsha tu-
Huna uzoefu wa kutosha ila kwangu mimi nikiifanya hii kazi hachomoki atalipa tu,
ANGALIZO: Charger Usihadaike na vishoka wanaosema wanao uzoefu wakudai na vi 5% vyao.
Mkongwe nipo na kwa 10% hela yako yote utaipata nasubiri kusikia kutoka kwako.

Sasa nyie dalalitz na peri mbona mnaanza kugombana mapema hivi? Mintawanyima kazi niwape jamaa wa majembe,wale watanikamatia watu wote wanaofanana na huyo jamaa halafu mimi nachagua ndio yupi kati walioletwa.
 
anaonekana mjanja sana...sijui kama utampata...cheki alivyo makini...
IMG-20121106-WA0015.jpg

kumbe Ndio huyo aliyevaa shati ya njano ....! yuko makini!
 
Charge the Charger !! Kweli mkuu chukua ushauri wa wengi " Msamehe " wee endelea na maisha fedha zako utazikuta huko mbele..... Umishajifunza mengi!!!Good Luck
 
mimi husamehe vingi lakini deni huwa sisamehe kwa kweli.nina wadeni wangu 2 sijawasamehe mpaka leo,mmoja wapo biashara yake ikafa na mwengine bado yupo.sio vizuri kumdhulumu mtu,hujui yeye mwenyewe kajinyima vipi akakukopesha wewe kwa huruma yako
 
aaaaaaah, ulishindwaje kumkamata hapo? ilikuwa saa ngapi hapo?

Hayo ni majira ya saa 11 jioni ndio jamaa yake anampitia,ana mbinu za ziada huyo usimchukulie poa mkuu lilendi.
 
mimi husamehe vingi lakini deni huwa sisamehe kwa kweli.nina wadeni wangu 2 sijawasamehe mpaka leo,mmoja wapo biashara yake ikafa na mwengine bado yupo.sio vizuri kumdhulumu mtu,hujui yeye mwenyewe kajinyima vipi akakukopesha wewe kwa huruma yako

Ungewanjima unakua mbaya,ukiwapa ndio kama hivi kuwindana kama wadudu
 
pole sn, mijitu km hiyo mingi tu ila dawa yao nikuwakomalia tu mpaka mwisho hata ikibidi ukakeshe mlangoni pake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom