Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

Alikua ana nusa lakini akija ku ng'amua inakua too late tayari πŸ˜‚
 
Elijah Mikaelson( The originals)..anafanya chochote(despicable things) in the name of Family
Alinifanya mpaka nikamsome Elijah wa kwenye bible, his brother clause alikua akinifurahisha na kibritish.
Natumai Vampire diaries mnaifaham mtu alikua akinikosha sana ni daemon his reckless, careless behaviour.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…