CHAPUTA wote mbinguni hamuendi

CHAPUTA wote mbinguni hamuendi

Unajidanganya bora nkae kivyangu kuliko kuwa na mwanamke au mwanaume na hata hivyo ntaepuka zinaa..
Umejidanganya... Hata uwe bikra tayari ushafeli mbinguni huendi!!
Fact ni kwamba unazini rohoni mwako!
Zinaa ya rohoni ni matokeo ya kupata picha ya mtu machoni then unmweka akilini.. Baada ya hapo unamtamani moyoni yaani unatamani mfano vera sidika au sanchoka angekua wako.. Then hilo linashindikana unajikuta unaanza kuimagine upo nae kitandani unafanya nae mapenzi in reality huku mikono yako inaendelea kushirikiana na vitendea kazi vyako... Hapo ushazini ndugu yangu
Mathayo 5View attachment 923190
muache kubana basi kama hmtaki twende jehanum...
 
Nakusubiri.. Na kwa hii post idadi kadhaa ya wanachama itapungua
Chama haliwezi kupungua wanachama.

Ni chama kongwe sana, tangu enzi za ulimwengu wa kale.
Na bahati nzuri siku hizi karibu 90% ya wanaume Tanzania ni member.
Japo si wote ni member watiifu.
 
Back
Top Bottom