painboy
Senior Member
- Dec 27, 2019
- 110
- 51
Habarini wakuu .naimani mko powa kwa uwezo wa muumba..
Picha linaanza nikiwa sekondari miaka ya 2012 nikaanza kuingia kwenye kuangalia porno na kuanza kujichuka .
Hii hali ilinitesa sana miaka yote niko O level ikasababisha nikawa Jeuri ,msahaulifu,mchovu,mwili kuishiwa nguvu,kulala tu,na nywele kubadilika na mwili kwa ujumla na kukosa kabisa hamu na wanawake stress kwa wingi na chuki za bila sababu na mahasira mengi
Primary nilikuwa na akili sana ila sekondar nilibuma kabisa nikaanza kuvuta bangi kuwa jeuri na mambo mengi ya ujana.
Mwaka ukaisha nikamaliza na nikahama mkoa nikapata kazi ila mchezo wangu kila nikitaka kuacha cwzi najikuata narudi nikamuomba sana mungu na nikaenda kanisani kukiri kabisa ila ckuweza kuacha
Ikafika stage mpka ute unatoka wenyewe uume ukisimama na korodani kuuma sana
Mungu si athuman nikakiri kwa mara ya pili kuacha na nikaaapa nikirudia ntajiuwa nina miezi nimeacha na nimepata mchumba coz toka udogoni sijawahi sex na nimekuwa na kumbukumb na furaha na uwoga umeisha nko happ sana nafurahia maisha coz nilishataka kujiuwa kabisa
NINACHOWAOMBA VIJANA ACHENI HUU UCHAFU NI SHETANI MKUBWA SANA NA ANA NGUVU MWAKA JANA NILIOMBA USHAURI HAPA ILA CKUACHA MPKA NILIPOKIRI KWA MUUMBA NA KUOMBA KWA KUMAANISHA PUNYETO NI MBAYA USIKUDANGANYE MTU ETI ME MBONA NAFANYA OOOH UTAJUTIA COZ INAMALIZA MADINI MWILINI SANA.
***** MBARIKIWE****
Sent using Jamii Forums mobile app