Chanzo ni nini?

Chanzo ni nini?

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Mpo Wanandoa?

Nilihudhuria semina moja ya wanandoa.
Huko tulipewa assignment ya chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika.

Naombeni mnipe maoni yenu.
Nitaanza.

1. High expectations- mke kuwa na matarajio makubwa sana na kusahau maisha ni kupanda na kushuka.
2.,,,,,,,
 
mkuu kwa hiyo mabachela haturuhusiwi kuchangia?
 
Kuolewa kwa sababu umri unaenda
kuolewa kwa sababu mashost wameolewa
kukosa uvumilivu, kosa dogo kulipukiana kama mabomu
Kushindwa kuacha maisha ya awali(before ndoa)...mme kuishi kama bachala and vice versa
kutokuwa waaminifu
kutokuheshimiana
n.k n.k
 
mtikisiko wa kiuchumi ndani ya familia naweza kusema unachangia almost 60% familia nyingi na ndoa kuparanganyika
 
Mpo Wanandoa?

Nilihudhuria semina moja ya wanandoa.
Huko tulipewa assignment ya chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika.

Naombeni mnipe maoni yenu.
Nitaanza.

1. High expectations- mke kuwa na matarajio makubwa sana na kusahau maisha ni kupanda na kushuka.
2.,,,,,,,

-Kuoa au kuolewa kisa unaona umri umeenda
Kutokua na mipango kabla ya ndoa
-Relationships do not have friendship foundations. Hizi za baada ya siku tatu unaambiwa I love you na unaamini-ujinga tu!
-Watu kuingia ndoa umri mdogo-miaka 23 unawahi wapi. You are still growing and you are changing so you're likely to even lose interest in your partner.
-Cheating because your partner doesn't fulfil something that you want. Hizi tabia za kitoto ndo zinafanywa na hao wanaojiita "wanaume wa kweli" Kwanza mtu yeyote anaecheat hata usimlilie. Mchukulie bado ni mtoto puberty inamsumbua.
 
Kukosa uaminifu ni sababu kubwa sana.
Nyingine mtajazia nyama.
 
2. Kushindwa kuvumiliana kasoro zenu.. Na kila mtu kujifanya mjuaji zaid ya mwenzie
 
1) Wanandoa kukosa Hofu ya Mungu (Muumba na Mlezi wao)

2) Wanandoa wengine wanaoana kwa kufuata mkumbo tu na si kwa kupendana na kukubaliana katika mapungufu ya kibinadamu.

3) Urahisishwaji pia wa njia za mawasiliano(social media's) pia ina influence kubwa kwa Wanandoa wasioweza kubalance mambo na kujicontrol wenyewe.

4) Shetani: Shetani huwa ana attack sana mahusiano ya wawili wapendanao especcially wana ndoa halali.(mara nyingi anatumia binadamu kuchonganisha)
 
Ukaidi na kukosa shukrani kwa mumeo. Kukosa ukarimu na kujali kazi au Ndugu zako zaidi kuliko mume/ mke. Kauli mbovu kwa mumeo/ mkeo. Kukosa uvumilivu pale mumeo anàpokuomba umpe muda ilijambo flani lifanyike. Kuomba pesa kilawakati bila sababu ya msingi na matumizi mabaya ya fedha. Kukosekana kwa utii kwa mumeo.
 
Chanzo ni dhambi. Refer song a "Chanzo" by Martha Baraka
 
Binadamu wa kipindi hiki akili zao mbovu, uvumilivu umekosekana, tamaa ya maisha ya kufikirika, ukosefu wa uaminifu, ubinafsi, hisia kutawala maamuzi mengi n.k
 
Back
Top Bottom