luckyperc JF-Expert Member Jan 17, 2011 495 46 Jun 29, 2011 #1 Wanajamvi nisaidieni nina tatizo la misuli kukaza hasa msuli wa kwenye unyayo wa mguu. Je hii inasababishwa na nini.......?
Wanajamvi nisaidieni nina tatizo la misuli kukaza hasa msuli wa kwenye unyayo wa mguu. Je hii inasababishwa na nini.......?
njiwa JF-Expert Member Apr 16, 2009 12,368 5,512 Jun 30, 2011 #2 jaribu foot massage ... itakusaidia ! seating on one position kwa muda mrefu , maybe kuotokana na shughuli ufanyayo inaweza sababisha hilo tatizo
jaribu foot massage ... itakusaidia ! seating on one position kwa muda mrefu , maybe kuotokana na shughuli ufanyayo inaweza sababisha hilo tatizo