Chanzo cha umasikini tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanzo cha umasikini tz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jockey emmanuel, Mar 24, 2011.

 1. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengi wetu tutakuwa na majibu tofautitofauti juu ya chanzo cha umasikini hapa tz.UTAJIRI we2 wote kwa mfano,madini ye2 haya2faidishi kama inavyotakiwa.2kiangalia,misi2 2naichoma na kusababisha ukame na mmomonyoko wa udongo.Viongozi we2 [ingawa sio wote] wanajieaidisha kwa ushuru unaolipwa na wananchi.
  hivyo basi,inaonyesha kuwa UJINGA we2 ndio unao2letea umaskini kwani kama ni elimu juu ya umuhimu wa misi2 kwa maisha ya binadamu inatolewa lkn 2mekuwa viziwi.Labda elimu hiyo haijafika kwa walengwa au wakata miti wenyewe.Nadhani UMASKINI NA UJINGA vinaenda pamoja kwani kama m2 ni maskini mara nyingi anafanya mambo ya kijinga coz ya umaskini alionao.
  ningependa kuona tz imeendelea kiuchumi lkn itaendeleaje wakati viongozi waadilifu ni kama 1% ya viongozi wote?hakuna uadilifu kuanzia ngazi ya uongozi wa familia hadi serikali kuu....:frown:...je,tutafika kwa kuwapa kura mafisadi na wakishakaa madarakani ndio 2naanza kuwalalamikia?...:teeth:
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  chanzo cha umaskini ni CCM
   
 3. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,459
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Woga wetu ndio umasikini wetu ndg yangu. Ikiwa kama tunachagua mafisadi wanatuibia, wanatukashfu watakavyo na tunakaa kimya, kwa nini tusiwe maskin?. Hebu fikirria idara za serikali zilivyooza kwa sababu ya rushwa na utendaji mbovu. Wananchi kimya, (woga). Mkulo alisema "kgpgla mtanyania atakula jasho lake". Mramba akasema, "hata kama wananchi watakula nyasi, lazima ndege ya rairi inunuliwe". Ndege yenyewe nikajackia kuwa haina hata issue. Sasa kwa viongozi wa style hi unategemea utoke kwenye umaskini. Watu kimya, hata vitu vipande garama, kimya? "woga wetu umasikini wetu"
   
Loading...