Habari Zenu !!!
Zamani watu Wengi wanaoana bila hata kujuana awali : mtu analetewa mume na wazee wake , au mwanaume analetewa mchumba na wazee wake lakini ikitokea wamefunga ndoa basi ndoa zao hudumu muda mrefu zaidi
Lakini leo Kabla ya ndoa huwa mnajuana na munapendana ila mkioana ndoa hua haidumu muda mrefu : hivi nini kinachosababisha ndoa nyingi za Skuizi zisidumu ??