The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,160
.
Lengo kubwa la manabii wa uongo na mitume wa uongo ni kutafuta pesa.Ili Waweze kupata fedha wanatumia uchawi na udanganyifu.
1.ROHO YA SIMONI MCHAWI.
Mdo 8:5-13.Inasemekana huyu ndiye aliayeanzisha imani ya Wagonostiki ambayo ilisumbua sana kanisa la Wakolosai ,na hata mtume Yohana katika nyaraka zake aliandika kupinga imani hiyo
Simoni mchawi alimpokea Yesu katika mahubiri ya shemasi Philipo.Inasemekana huyu jamaa hakuwa na toba ya kweli na aliendelea na uchawi wake,wakati fulani mtume Petro alipokuwa akihubiri injili kule Rumi ,simoni mchawi alipita angani akiwa kwenye ungo,na alianguka chini na kuvunjika miguu.
Roho hii ya kichawi imepata mizizi ndani ya kanisa.Hii inatokana na baadhi ya wachawi kumwamini Yesu,na kutokuwa na toba ya kweli,na kuendelea na uchawi wao ndani ya kanisa.Watu hao baadaye huanza kumtumikia Mungu lakini wakitumia uchawi wao katika maombi na maombezi.
2.ROHO YA YAZEEBELI.
Ufunuo 2:20;1Wafalme 16:30-37.Yezebeeli alikuwa mwanamke aliyekuwa mke wa mfalme Ahabu .Mwanamke huyu alikuwa mchawi ,mzinzi na mwabudu sanamu .Roho hii hufanya kazi leo.Manabii wa uongo na mitume wa uongo wanaohusika na roho hii wana maagano na shetani ya kutoa kafara watu,kufanya uzinzi,kuabudu miungu fulani ili wapate nguvu ya kufanya miujiza .
3.ROHO YA BALAAMU
Uf 2:14;Hesabu 22-25.Hii ni roho ya uganga wa kienyeji na ushirikina .Roho ya kutabiri ,kugundua mambo ya sirini na utumiaji wa vitu vya kiganga kama vile maji ya upako ,chumvi za upako,keki za upako n.m
4.ROHO YA MAFUNUO
Imani nyingi potofu leo zimetoka na mafunuo.Wanadai kuwa wamepata mafunuo kutoka kwa Bwana ya kufanya mambo fulani .Kumbuka kuwa Biblia ndio Ufunuo wa mwisho aliopewa mwanadamu .Mtu akidai kuwa amepata ufunuo huo ni uzushi ( Uongo) .Ufunuo 22:18-19
Watu hao wanadai wamepata mafunuo kutoka kwa Bwana kwa ajili ya maombezi.Mfano wa mafunuo hayo ni ;Kuwapiga watu teke la upako,kuwabatiza watu wakiwa uchi,Kuwaombea watu wakiwa uchi,n.k
5.ROHO YA KUBUNI MIUJIZA BANDIA.
Mitume na manabii wanohusika na roho hii ,hutafuta watu kujifanya kuwa vipofu,viziwi,mabubu,wamekufa .Baada ya maombezi wanashuhudia kuwa wamepata uponyaji .Watu hawa hupewa pesa ili wajifanye hivyo.Mathayo 7:15
6.ROHO YA UCHAWI WA KUPIGA MAFUNDO.
Kumb 18:11
Hii mazingaombwe au viini macho .Watu hawa huwaombea watu na kutapika mizumari,mijusi,chura n.k
Vitu hivi huja navyo katika eneo la maombezi,kisha hufawanyia watu mazingaombwe au viini machi.
Ubarikiwe sana na somo hili.
Ushauri,maombi na maombezi ni bure,piga 0787333110