Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
wachezaji wa stand united haruna chanongo na abuu ubwa wameenda mazembe kwa majaribio safari hiyo watakiwa waondoke watatu lakini mohamedi ibrahimu wa mtibwa simu yake haikupatikana alipotafutwa